Tuesday 7 September 2010

MR NICE NA MABALAA YAKE TENA

 fuata link ukasome



inasemekana jamaa walimteka wakaenda nae sehemu baadae wakataka kumla kiboga wakaghairi wakaogopa ngoma(kama kweli),sasa sijui inawezekana jamaa walifanya kweli ila si unajua tena mwanaume lazima utoe nje kwanza,inasemekana jamaa pia walipiga picha kibao za tukio.

pole sana mzee mzima ushauri wangu sasa inabidi uokoke kabisa  uimbe kwaya, maana naona haya mabalaa mwisho wake utakuwa mbaya zaidi.

No comments:

Post a Comment