Wednesday 15 September 2010

UZINDUZI WA ALBAM VUTA NIKUVUTE YA FM-NGWASUMA ULIVYOFANA

king blaise katika pozi

jose mara na malikia wa ngwasuma

kapteni nyoshi el-sadaat

nameless na jose mara,nameless alikuwepo kuwapiga tafu
pablo masai akiondoka sebene.jamaa huwa namkubali sana kwa kujishughulisha pale kati muziki ukichanganya,yaani hadi raha maana anavyokuwa bussy utafurahi.akiwepo huyu mtu halafu umkute na mule-mule enzi hizo kisha na king blaise,huku wakichezeshwa na totoo ze bingwa na papii kocha.nyuma huku unamkuta nguza mbangu kwenye drum halafu yule hussen sijui sefu kwenye tumba na magitaa umkute yule jamaa mfupiii kalikamata bass guitar.hutajutia 5000 yako uliyolipa kiingilio,maana muziki ukiisha unakua umechooooka kwa kulicheza sebene kama umetoka kubeba zege.

No comments:

Post a Comment