Wednesday 22 September 2010

WABONGO NA DAWA YA KUKOMESHA WANAUME WAMBEYA!

 jamaa wakiwa tayari na pete zao kwenda kumuoa mwanaume huyo mbea
mpambe wa bwana harusi
na wanangoma ya baikoko walialikwa kutumbuiza
ukiuliza kisa cha kuandaa mambo yote haya eti kwanini jamaa muolewaji alienda kumwambia mke wa huyo muoaji kwamba alimkuta muoaji na mwanamke mwingine??sasa kama hupendi kwanini unafanya uzinzi??wabongo kaaaz tunayo hakyanani,msaada wa mungu unahitajika haraka sana kutuokoa.

kaisome hiyo habari hapo chini

No comments:

Post a Comment