Thursday 8 March 2012

BMT YAMFUNGIA MAISHA KATIBU WA JUDO

 


Mwenyekiti wa Kamati ya Rufaa na Nidhamu wa BMT, Alex Mgongolwa, akitangaza kumfungia Bundala kwenye mkutano na wanahabari uliofanyika Ukumbi wa Idara ya Habari ‘Maelezo’.
 
BARAZA la Michezo nchini BMT leo limetangaza kumfungia maisha kushiriki shughuli yoyote ya kimichezo aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Judo nchini, Kashinde Shaaban Bundala, baada ya kupatikana na hatia ya kuwasafirisha nje ya nchi watu mbalimbali akidai ni wacheza judo, jambo lililobainika kwamba watu hao walikuwa hawahusiki chochote na mchezo huo.

chanzo:gpl

No comments:

Post a Comment