Sunday 11 March 2012

NYUMBA MPYA YA SPIKA ILIYOGHARIMU TSHS 1.9 BILION YAKABIDHIWA KWA OFISI YA BUNGE


Muonekano wa nyumba hiyo kwa mbele. Jengo hili ambalo litakuwa makazi ya Spika yeyote atakayeliongoza Bunge la Tanzania lilianza kujengwa Disemba 2009 na limegharimu takriban sh. 1.5 bilioni. Hapakuwahi kuwa na nyumba rasmi ya Spika wa Bunge Dodoma.


huu.Mlango wa mbele wa jengo.Ngazi ndani ya jengo ambalo lina vyumba vinne vya kulala, sehemu ya mapumziko, sehemu ya chakula, maktaba na jiko.Upande wa nyuma wa jengo.Mazingira yanayolizunguka jengo.

1 comment:

  1. Hizo ni hanasa tu..Si dhani kwamba kama wangejenga nyumba ya sh.70 ml! Spika angegoma kuishi humo. Hayo ni matumizi mabaya ya fedha za uma.

    ReplyDelete