Friday 30 March 2012

SHYROSE BHANJI AKITOA MSAADA WA FEDHA TSHS MILIONI KUMI KWA MBUNGE WA MONDULI MHESHIMIWA LOWASSA

 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowasa (katikati) akizungumza na Meneja Mahusiano wa Benki ya NMB,Shy-Rose Bhanji ambaye amefika Wilayani Monduli Jana kwa kutoa msaada wa sh. 10 milioni uliotolewa na Benki ya NMB kwa ajili ya wahanga wa Mafuriko yaliyoukumba mji wa Mto wa Mbu,Wilayani Monduli.Kulia ni Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kaskazini,Vicky Bishubo.

No comments:

Post a Comment