Wednesday 7 March 2012

MIAKA 50 YA KUJUTIA KAULI TATA ZA VIONGOZI WETU HAWA



Top ten ya kauli zenye changamoto…

1. Mtakula nyasi, lazima ndege ya Raisi inunuliwe. – Mramba.

2. Foleni Dar ni ishara ya maisha bora na maendeleo. – JK

3. Acheni wivu wa kike. – Mkapa

4. Asiyeweza kulipa nauli kwenye kivuko, apige mbizi. – Magufuli

6. Baada ya kutumia helkopta ya jeshi kwenda nayo kwao Urambo ‘mlitaka nipande punda’. – Kapuya

7. Wabunge wa Dar wanafikiria kwa kutumia makalio. – Masaburi.

8. Mnauliza mvua kwani mimi ni waziri wa mvua. – Wassira.

9. Ngeleja kila siku ananinunulia ‘chai’ wakati nina uwezo wa kujilipia. – Anne Kilango.

10. Graduates msio na kazi kafugeni kuku, biashara hii inalipa sana . – Mahiza.

MIAKA HAMSINI YA UHUNI!!!!!
 

No comments:

Post a Comment