Wednesday 21 March 2012

BOLINGO MPYA ZIMETUFIKIA LEO-FERRE GOLA LIVE 2012

Ferre Gola - sében " Boite Noir " LIVE a Abidjan 2012
hii kagonga live abidjani,seben kali limetulia na ferre kama kawaida yake hajafanya mchezo,fally akiendeleza mambo yake ya utozi mda si mrefu atamsoma ferre kwa mbaali,maana ferre yeye ni kazi tu

Ma Belle - J'AFRO'ZZ (Official Video )

haya na hawa maganga nao wanajaribu jaribu,muziki wao una mahadhi ya jazz na trumpet kwa sana,kuna tumba zinapigwa humo ni kama vile jamaa wana kisasi nazo,ila muziki wao umetulia na hasa unatakiwa uusikilize ukiwa ushakula biere za kutosha.wametuma hii video mthaminishe wanafaa?

No comments:

Post a Comment