Wednesday 14 March 2012

BOLINGO MPYA ZILIZOTUFIKIA WIKI HII

WERRASON SPECIAL 08 MARS 2012 JOURNEE DE LA FEMME
naona werrason kaamua kumrudisha mtu wangu eboa lotin baada ya kumpa likizo ya muda BILL

CLINTON - CLIP KULUMBIMBI
 

KOFFI OLOMIDE - ABRACADABRA LIVE A DEL PIRLO

naona hapa mzee mzima papa mopao kaamua kumwaga vitu mwenyewe maana ni muda alimkabidhi mikoba cindy ambae wote mnaelewa mukulu del piro ndio anapumzika hapo siku hizi.

BILL CLINTON - CLIP MUKUWA MAKOSO

rumba kali sana toka kwa bill clinton kalondji

No comments:

Post a Comment