





mzigo kama unadondoka vile,fisi hapo haooo wanaunga safari




ikiwezekana unajitoa muhanga kabisa kama huyo jamaa na baskeli yake


osama nae hakuwa nyuma kula raha


inabidi tupunguze mawazo bandugu watanzania,maana ukiendekeza politiki na porojo za bongo utakufa siku si zako,maisha yenyewe mafupi,na viongozi wenyewe ndio hao wanarithishana madaraka,kwahiyo wakimaliza kutupiga porojo,halafu na watoto wao waliowaachia madaraka nao watupige porojo piga mahesabu ni lini tutachomoka hapo?
mi nshajichokea mageuzi bongo sio leo wala kesho
No comments:
Post a Comment