Wednesday, 30 November 2011

SONG LA WIKI TOKA KWA EBOA LOTIN WA WENGE WERRASON

OTIN HAYUKO TENA NA WENGE MAISON MERE SABABU MTAIJUA HAPO BAADAE.WEEK END NJEMA

KANDA BONGO MAN &MIMITAH SHOW 26NOV ILIVYOBAMBA

 
 kanda bongoman na trupu lake wakipiga show


 


mzee mzima akiendeleza libeneke kwastyle hii


hapa dj mike akiwa na mimitah

 
ohoo frank akionyesha ujuzi wa kulisakata indemonii
nyomii

hapoo
 
 yeah hawakukosekana,wapi wazee wakuchanganya abari?
"yu nou me amu relativu tu mista kandabongo man,infwakiti my fathers brother in law was his buratha"
miunoo kwasakwasa
picture thanx to DJMIKE

KIDUM HAS LANDED IN STOCKHOLM READY FOR FRIDAY SHOW