Tuesday, 15 January 2013

ATC WATHIBITISHA KUWA NDEGE YAO ILIPATA NYUFA KWENYE KIOO NA SI KUPASUKA


 

Ndege ya ATCL ikiwa imetua uwanja wa Kigoma baada ya kioo chake kupata nyufa na kulazimika kutua,hii ni tofauti na taarifa zilioneshwa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa ndege hiyo iliharibika vibaya sehemu yake ya mbele pamoja na mabawa yake.

====  ======= ====== =======

Taarifa ya kupata nyufa kwa kioo cha ndege ya ATCL.  

No comments:

Post a Comment