Tuesday, 8 January 2013

BOLINGO MPYA KALI ZILIZOTUFIKIA WIKI HII

Werra son - Satellite + 2 [NOUVEL ALBUM]KITU KIPYA CHA WERRASON SATTELITE +,MPAKA HAPO NASKIA HERITIER WATANABE NA OBRIGADO HAWAPO KUNDINI WAMEJITOA.NAITAFUTA HII HABARI MTAIPATA HAPA

Fally Ipupa- Power 001 GeneriqueOK NA FALLY IPOUPA NAE KAKUJIA NA KITU CHAKE HICHO KIPYA "POWER 001 GENERIQUE".NACHO NI MOTO WA KUUKALIA MBALI.

PIA KUNA LIVE MPYA YA WERRA HAPO CHINI AMEPIGA MWISHONI DEC 2012

WERRASON FIKIN 2012 ACT 1 1


WERRASON FIKIN 2012 ACT 1 2


BILA KUSAHAU FERRE NAE HAKUA NYUMA KUFUNGA MWAKA,NAYEYE KAFUNGA MWAKA NA HII LIVE BEACH


No comments:

Post a Comment