Tuesday, 1 January 2013

Breaking News:msanii JUma Kilowoko"sajuki"amefariki dunia

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema msanii Sajuki amefariki leo asubuhi hospitalini muhimbili.msanii huyo alikuwa anasumbuliwa na upungufu wa damu mara baada ya kufanyiwa operesheni huko India.Sajuki amefariki wakati serikali imejitolea kumpatia msaada wa matibabu huko India mpaka atakapopona.

No comments:

Post a Comment