

EEH UKIANGALIA HIYO MITI NAYO IMEPIGWA BARIDI MPAKA INASISIMKA(MGUU SAWA),TAFAKARI

MITAA YA GAMLASTAN (MJI WA ZAMANI) UNAVYOONEKANA.NI KIJUA KWA MBAALI LAKINI UKIJICHANGANYA UKAZANI KUNA JOTO IMEKULA KWAKO.BARIDI INASOMA -15 LEO.
SASA KM ULITOKA JANA NJE UKALIPATA BARIDI LILILOKUWEPO UTAELEWA NASEMA NINI MAANA JANA ILIKUA -5 NA HALI ILIKUA VILE NA SASA LEO -15 SIJUI ITAKUWAJE.
HAYA MI NDO NAJITWIKA MZIGO WANGU WA MAJACKET SWETA,BOOT TAYARI KUIVAA NJIA.
WEEK-END NJEMA.
No comments:
Post a Comment