Tuesday, 15 January 2013

SKYLIGHT BAND yaendelea kuwabamba mashabiki wa muziki wa Live Band jijini Dar.Kipaji kimelala hapo......Aneth Kushaba AK47 na Sony Masamba wakitoa burudani kwa mashabiki wa SKYLIGHT BAND katika kiota cha Thai Village Masaki mwishoni mwa Juma jijini Dar.
Sam Mapenzi, Sony Masamba na Joniko Flower wakiporomosha burudani ya aina yake kwa mashabiki wa SKYLIGHT BAND.
Mary Lukas katika hisia kali.....
Vijana wa SKYLIGHT BAND.... Rappa Sony Masamba sambamba na Joniko Flower taratibu katika miondoko ya Zouk Rhumba. Kikongo na Kizaire kimelala hapo.
I feel you Girls.....Shabiki anapokunwa na wimbo, hawezi kuvumilia.
Pichani Juu na Chini Sehemu ya Mashabiki wa SKYLIGHT BAND wakiserebuka kwa raha zao.
Vitu adimu kama hivi havikosekani...Wadada warembo wakishow love na pozi matata.
Couples ya Ukweli ndani ya nyumba.
Vijana watanashati hawakosekani.
Mdau King Kif akishow love na mshikaji wake.
HUMPHREY
muzee wa "cheda" ndani ya nyumba 
Warembo katika pozi na kaka yao....Hatekwi mtu hapa.....

No comments:

Post a Comment