Saturday, 26 January 2013

Mkutano wa mwaka wa chama cha watanzaniaSweden /Tanzaniska årsmöte


CHAMA CHA WATANZANIA

Kwa watanzania pamoja na marafiki
Chama cha watanzania Sweden kinawakaribisheni katika mkutano wa mwaka.
Tarehe: 23 febuari 2013
Wakati/Muda: Saa tisa mchana mpaka saa kumi na moja jioni ( 9:00 mchana – 11:00 jioni)
Sehemu: Tanzania house, Näsby Allé 6, Täby
Agenda
 Mkutano mkuu/uchaguzi wa viongozi
 Habari za maendeleo na mipangilio ya chama katika kipindi cha mwaka 2012 – 2013
 Uandikishaji wa wanachama
 Usikilizaji wa maoni ya wanachama
Kufika kwenu katika mkutano huu ni jambo zuri sana kwani tutabadilishana mawazo na kupeana habari njema juu ya chama chetu cha watanzania, na pia kutakua na tafrija ya chakula na viburudisho.
Kamati ya ushughulikiaji pamoja na
Katibu msaidizi
Nd. Mbarouk
tanzanianswe@hotmail.com

No comments:

Post a Comment