Tuesday, 15 January 2013

PRECISION AIR WAZINDUA SAFARI ZA MKOA WA MBEYA


MAFUNDI WAKIENDELEA KUWEKA MABANGO YA MATANGAZO KATIKA MTAA WA WEST AMBAPO NDIPO OFISI MPYA ZA PRECISIONAIR JIJINI MBEYA
MTAA WA WEST UHINDINDI MBEYA UMEPATA BAHATI YA KUWEKEWA TAA ZA BARABARANI  MAANA MTAA HUU NDIPO IPO OFISI YA PRICISIONAIR
MAFUNDI WAKIENDELEA KUFUNGA TAA PAMOJA NA MABANGO YA MATANGAZO YA BIASHARA YA KAMPUNI HIYO YA NDEGE
KESHO TAREHE 16/1/2013 SAA 6.30 MCHANA NDEGE YA PRICISIONAIR ITATUA KWA MARA YA KWANZA KATIKA UWANJA WA NDEGE SONGWE KUASHIRIA KUWA SASA SAFARI YA DSM NA MBEYA ZIMEANZA

PICHA NA MBEYA YETU

No comments:

Post a Comment