Monday 9 April 2012

AJALI YA NDEGE YA ATC KIGOMA


ndege moja ya ATC iliyokuwa ikifanya safari bila kuchoka kwenda kila mahali hapa Tanzania imepata ajali mjini kigoma,
yasemekana ndege hiyo imeshindwa kuruka na badala yake kuangukia pua na iko katika hali mbaya.hakuna abiria majeruhi katika ajali hiyo na abiria 38 waliokuwepo ndani ya ndege hiyo wametoka salama.
sijui tutafanyaje na kandege kenyewe ka serikali ndo hako ka ngama nako kamekwenda

No comments:

Post a Comment