Saturday 7 April 2012

PICHA ZAIDI TOKA KWA MAREHEMU STEVEN KANUMBA




Wema Sepetu Akiingia Ndani kwaajili ya Kutoa Pole kwa Ndugu,jamaa na Marafiki waliofika Katika Msiba huo nyumbani kwake sinza vatican
Mbunge Wa Jimbo La Ubungo(CHADEMA) Mh John Mnyika akibadilishana mawazo na Mmoja wa Ndugu wa Marehemu Steven Kanumba katika Msiba uliopo Nyumbani Kwake Sinza Vatican Mida hii
Msanii Mwenza wa Marehemu Steven Kanumba Monalisa (aliyeinamisha kichwa chini) akiwa analia kwa uchungu  wa kumpoteza msanii mwenzao
Wema Sepetu Akiongea na mmoja wa Wasanii Wa Maigizo katika katika eneo la Msiba mida hii katika Eneo la Sinza Vatican Nyumbani kwa Marehemu
Mwigizaji Mwenza wa Marehemu Steven Kanumba Natasha (Mama Monalisa) akiingia huku akilia kwa uchungu katika eneo la msiba ambao upo nyumbani kwa marehemu sinza vatican.
Mwenyekiti Wa Kamati ya utendaji Katika Msiba Wa MArehemu Steven Kanumba Mh Erick Shigongo(Mwenye shati la Draft) akibadilishana mawazo na Baadhi ya Jamaa katika Msiba wa marehemu Steven Kanumba uliopo Nyumbani Kwa Marehemu Steven Kanumba Sinza Vatican.
Baadhi ya Wakina Mama waliojitokeza katika Msiba wa Marehemu Steven Kanumba Uliopo nyumbani kwake Sinza Vatican
Baadhi ya wakazi wa jiji la dar wakiwa wameketi huku wakisubiri ratiba za msiba unaoendelea nyumbani kwa Marehemu Steven Kanumba Sinza Vatican Mida hii

Wananchi Wakiwa Upande wa pili wa barabara mbele ya nyumba ya marehemu Steven Kanumba Maeneo Ya Sinza
Baadhi ya Wakazi wa Jiji la Dar wakiwa wamesimama mbele ya geti la kuingilia nyumbani kwa marehemu Steven Kanumba Maeneo ya Sinza Vatican mida hii
Wakina Dada wakiwa nje ya Nyumba ya Marehemu Steven Kanumba Maeneo ya Sinza Vatican Mida hii ambapo msiba upo.

chanzo:Jlukazablog

No comments:

Post a Comment