Monday 9 April 2012

UTATA UMRI WA LULU YASEMEKANA NI 17YRS NA SI OVER 18YRS



well hiyo ni baada ya kuthibitishwa na mheshimiwa mbunge kawe Halima Mdee baada ya kumtembelea kuangalia namna ya kumsaidia kisheria,ameona cheti cha kuzaliwa cha Lulu kikisoma kwamba ni under 18!ok maelezo yote yapo hapo juu kwenye hizo tweets au kama una la ziada pia waweza mchecki mbunge wa kawe(chadema)mheshimiwa  Halima Mdee hapo -twitter@halimamdee.

No comments:

Post a Comment