Saturday 7 April 2012

Deepest Sympathies to the loss of "Steven Kanumba" + Banx Ft Gnako-Right Now...



banxtramatic.jpg




Kwa kuanza ,Nitangulize our deepest Sympathies toka Noizmekah Production studios Arusha,May the Soul of the great Film icon "Steven Kanumba" rest in eternal peace,We all head the same path...Banxtramatic aka Hookmaster toka pande za ChugaTown na mtu mzima te kankara aka Gnako wanakuja na banger waloipa jina "Right Now" ikiwa ni 1st solo project ya banx kuwa officially released kwa hewa,Kama inavofahamika wara na banx waliskika pamoja kiping\di cha nyuma kidogo katika pini la Right here alokuwemo pia mzee mzima Umbwa 4rom Watengwa "Nimekuwa quiet kw muda na hii ni tokana na majukumu ya kielimu zaidi na this joint ni exclusive kwa watu wangu wote round the world,mkono ni wa Defxtro pande za noizmekah.com,Peace kwa supporting media zote ndani na nje ya BongoTz!!..Rest In peace "Steven Kanumba"
Banx ft Gnako-Right Now (NOIZ).mp3Banx ft Gnako-Right Now (NOIZ).mp3
5939K   Play   Download  
Banx ft Gnako-Right Now acapela.mp3Banx ft Gnako-Right Now acapela.mp3
3732K   Play   Download  
Banx ft Gnako-Right Now mento.mp3Banx ft Gnako-Right Now mento.mp3
4016K   Play   Download  

No comments:

Post a Comment