Saturday 7 April 2012

BOLINGO MPYA ZILIZOTUFIKIA LEO PT-2

WERRASON CLOTURE LE MOIS DE LA FEMME A LA FIKIN


Haya hii ni baadhi ya vipande kwenye live concert aliyopiga werrason siku ya wajinga 1 april 2012 huko fikin kinshasa,
ukitaka mkanda mzima nijulishe nikutonye utapata wapi,live hii ni latest na nyimbo mpya kibao zimeimbwa humu,ukitaka kuthibitisha angalia kuanzia dk ya 8 kuna nyimbo ya heritier ya 2012(prince de la vie) aliyoimba ktk mahadhi ya charanga ambayo niliwawekea humu hapo nyuma hapa kaimba live,

pia ukifika dk ya 10 na kuendelea utasikia ile style mpya seben pia niliwaletea hapa "mosi mosi kitoko faya moto zamba zamba eswi,eswii,eswii eswii 2012"na hapo utamuona werrason kachangamka sana kucheza hiyo style akichezeshwa na obrigado mjeshi kamili wa kumwaga rap za kikongo,

 sio kawaida ya werra kucheza kwa furaha hivyo ila hapo naona kashajua kwamba sasa amelishika game la vijana.



OLIVIER OLIVIERA-ESTOMA

n

nyingine ni hiyo ambayo iko jikoni toka kwa mwanamuziki aliyewahi kuwa na werrason hapo nyuma kaamua kutoka kivyake,sijui itabamba au vipi,tusubiri....

2 comments:

  1. LEO NIMEKUPITIA BAADA YA SIKU NYINGI NIONE LABDA UNA CHA MAANA CHA KUELIIMISHA JAMII,LKN NAONA BADO HUNA MPYA ZAIDI YA KUENDELEZA UKONGOMAN WAKO....SII YUU

    ReplyDelete
  2. ndenge nini!ozala bien mdau hujalipa kiingilio,feel free ukitaka kwenda nendaa ukirudi tena pia unakaribishwa

    mada za kuelimisha jamii ziko nyingi sana ingawa unajifanya kipofu

    ReplyDelete