Saturday 7 April 2012

PICHA ZAIDI ZA WAOMBOLEZAJI WALIOFIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU KANUMBA


Picha ya Marehemu Steven Kanumba
 Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo ya Kifo cha Mcheza Filamu Maarufu Nchini,Marehemu Steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatican,Jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Kanumba amefikwa na Mauti usiku wa kumkia leo nyumbani kwake.
 Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki,Mh. Samuel Sitta akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo ya Kifo cha Mcheza Filamu Maarufu Nchini,Marehemu Steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatican,Jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Kanumba amefikwa na Mauti usiku wa kumkia leo nyumbani kwake.
Ridhiwan Kikwete pia akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo ya Kifo cha Mcheza Filamu Maarufu Nchini,Marehemu Steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatican,Jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Kanumba amefikwa na Mauti usiku wa kumkia leo nyumbani kwake.
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni,Mh. Iddi Azzan akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo ya Kifo cha Mcheza Filamu Maarufu Nchini,Marehemu Steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatican,Jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Kanumba amefikwa na Mauti usiku wa kumkia leo nyumbani kwake.



















































picha kwa hisani ya matukio-michuzi blog

3 comments:

  1. isaackin i want all matukio happen mbeya i want to sent to you so how to send it it's me josephgrenja73@gmail.com

    ReplyDelete
  2. isaackin how to send to you matukio mbeya

    ReplyDelete
  3. sok,send it to my email docmsaf@gmail.com

    ReplyDelete