Tuesday 24 April 2012

SHEREHE YA UFUNGUZI -CHAMA CHA WATANZANIA SWEDEN (TANZANISKA RIKSFÖRBUNDET)

 

 

 Kwa watanzania pamoja na marafiki

kamati ya muda iliyoteuliwa ubalozini kwa nia ya kuanzisha chama cha watanzania sweden inawakaribisha katika hafla fupi ya ufunguzi wa chama na pia kuchagua viongozi watakaoendeleza shughuli za chama.

mgeni wa heshima katika ufunguzi na uchaguzi wa chama cha watanzania atakuwa mh,

BALOZI MOHAMED MWINYI HAJI MZALE

sehemu-Tanzania House Nasby Alle 6, Taby

Wakati na tarehe-tar 28 april 2012 saa tisa mchana mpaka saa kumi na moja jioni


mwaliko utatumwa kwa barua pepe ikiambatanisha fomu za kujiandikisha kugombea uongozi wa chama,

pia waweza kupakua fomu za kugombea katika tangazo zilizowekwa kwenye mtanzao wa ubalozi.

wote mnakaribishwa na mkipata taarifa hii tafadhali mjulishe na mwenzio

kamati ya wanamchakato kupitia

katibu wa muda

KUPATA FOMU BOFYA HAPA



1.       JINA LA MGOMBEA UONGOZI:…………………………………………………………………………………….

2.       UMRI/MIAKA YA MGOMBEAJI:……………………………………………………………………………………...

3.       JINSIA MKE/MUME:…………………………………………………………………………………………………………

4.       MJI/MKOA ……………………………………………………………………………………………………………………….

5.       ANUANI …………………………………………………………………………………………………………………………..

6.       SIMU …………………………………………………………………………………………………………………………

7.       ANUANI YA BARUA PEPE…………………………………………………………………………………………………

8.       MGOMBEA UONGOZI ANAWEZA KUANDIKA MACHACHE KWA NINI ANGEPENDELEA KUONGOZA CHAMA HIKI CHA JUMUIA YA WATANZANIA SWEDEN.
  ……………………………………………………………………………………………………………………………………………
………………………………………………………………………………………………………………………………………………………
……………………………………………………………………………………………………………………………………………………..
………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

TAREHE……………………………MAHALI……………………………………………SAHIHI……………………………………………..

CHAMA CHA WATANZANIA SWEDEN

No comments:

Post a Comment