Monday, 11 February 2013

breaking news:majambazi wamevunja duka la dhahabu bredang

Niko jirani na eneo la tukio na polis wametanda njia nzima toka sätra mpaka malarhojden.inasemekana majambazi hao wameweka begi nje wakidai lina bomu.

Habari zaidi baadae

No comments:

Post a Comment