Saturday, 9 February 2013

VUMBI DEKULA AKITIMUA VUMBI LAKE MAMBO HUWA HIVI
nilikutana na mtakatifu Pablo siku hii,hutaamini kama ndio yuleeeee.mambo yote kaacha


Lady Neema (mbilia Bell ) wa sverige kama hutaki rudi bongo tuone


Neema akitoa ma-vokal na fan wake


Bobo Sukeri akifanya vitu vyake.kwa tunaomjua toka enzi za marquis orijinale tunafahamu shughuli yake kwa stage

eeh ukisikia little Nairobi ndo hapa,siku hii kulitema maana ATM zote zilicheua ma-kurona.watani wa jadi tarehe hizi huwa wanaonekana sana.Lady Neema akitoa smile la kukata na mundu.huwa simpati vizuri huyu DIVA katika picha maana akismile mi nakua kama nimepigwa radi vile.

nilikutana na bwana Lomunyaki na George,siku hii masai alikua na furaha sana sijui alipiga lotto wapi
peace man

nikakutana na jamaa zangu hawa,huwa tunakumbana sana maeneo ya kujidai


hapa nikiwa na ka-mujomba,ndo alinitoa ndani siku hiyo maana nilikua na mawazo ya wiki inayofuata kama mlima kilimanjaro

yah Bobo sukari anacheza pote pote,beki,kipa,mshambuliaji yeye hapa alikua hapo anamenya viazi na kukaanga chipsi

George akiwa na Mukubwa

Masai na mujomba

usishangae hamna kitu hizo style zinaitwa "VIBRATION".hapo Pablo Machine alikua anaimba nyimbo zake zileeeee"Mashangingi wa Daresalamu na Ma*ako mat.ako"kama mnazijua.
sasa hapo yupo kwenye movement.
najua kuna wale wa maadili mtaita ma.ako tusi,hicho kiungo tu jamani sio tusi,ni kama vile nikisema mkono,mguu etc

Mukubwa Addley"FC Kilimanjaro" coordinator,bwana mkubwa ndio huwa anasimamia mambo yaende sawa,na bila kusahau KILI FC inashiriki katika ligi hapa Sweden sasa na inaendelea vizuri tu kupanda madaraja.
sio madaraja ya Kibiti Lindi hapana madaraja ya ligi Sweden.

Yeah "sojaaa"salute kama kawa,hapo vyombo viko sekenke.

Bizzy Body


Neema akifanaya vitu vyake kikamilifu

Maestro Vumbi Dekula akitekenya nyuz bin nyuuuz
bila kusahau mataalam wa Bass pale kati

Mujomba kaifurahia muziki wa Afrika

Isackin nae akiondoka Kiwanzenza aah,Shamukwale aah muradi raha tu

HAYA DAKIKA YA MWISHO NATAFUTA PA KUMALIZIA USIKU,NIKAKUTANA NA HUYU MUUNGWANA,MLIOKO HAPA SVERIGE MTAJUA.JAMAA KANIONA TU NIMEFURAHI FURAHI NAPIGA STORY NA JIRANI YANGU AKANIAMBIA WE BWANA UMEFURAHI SAAANA(HATURUHUSIWI KUFURAHI SANA HAPA SVERIGE).NIKAMWAMBIA SAAAANA,AKANIAMBIA BASI NENDA TU HOME MAANA HAPA TUNAHITAJI WALE WANAOTAKA KUFURAHI SASA KAMA WEWE USHAFURAHI SIE HATUKUHITAJI,

AAH NIKAMLAMBA SNAP MOJA NIKAGEUZA NYUMBANI.
ANYWAY NASHUKURU KWA KUNISAVE TU-KORONA TWANGU.UBARIKIWE

No comments:

Post a Comment