Tuesday, 19 February 2013

MAMBO YA SKYLIGHT BAND NDANI YA THAI VILLAGE


Pichani juu na chini ni Sony Masamba, Mary Lukas, na Joniko Flower wakitumbuiza mashabiki wa Skylight Band kwenye kiota cha Thai Village kinachowakusanya mashabiki kila Ijumaa ya wiki kutoka sehemu mbalimbali za jijini la Dar na vitongoji vyake.
Burudani ikiendelea.
Sony Masamba ndani ya hisia kali kuhakikisha mashabiki wa Skylight Band wanapata ile kitu roho inapenda.
Umeshawahi kusikia kipaji cha huyu dada…??? ni Aneth Kushaba AK 47 akiwajibika kazini, njoo Ijumaa moja ujionee mwenye.
Eric Ndalu akishow love na mdau.
Tumia pesa ikuzoeee. Vijana wanaojua kula bata mjini hawakosekani Kila Ijumaa wako na Skylight Band.
King Kif meno 32 yote nje anapoona wadada wazuri kama hawa.
Pichani  juu na chini mashabiki wa Bendi inayoshika kasi mujini Skylight wakijimwaga na masebene yaliyokuwa yakiporomoshwa na Sony Masamba pamoja na Joniko Flower.
Joniko Flower akitoa buradani huku akisindikizwa na Aneth Kushaba AK47 pamoja na Mary Lukas.
Haki Ngowi (katikati) akishow some love na Fans wa Skylight Band Julio (kushoto) na Gideon (kulia).
Hayo yote ni mapenzi na Skylight Band….. Mdau akiwa ametweta jasho baada ya kusakata Sebene vilivyo akiona ashow love na dada zake.
Couples waliobamba kwenye Show ya Skylight Band wakishow love mbele ya Camera yetu…Karibuni tena.
Salma Yusuf akiwapa raha  mashabiki wa Skylight Band na mambo ya pwani (mduara) huku akipewa Sapoti na Mary Lukas sambamba na Sam Machozi.
Kijana David akianza kuonyesha woga wa kuzungushiwa nyonga huku akiwa amekaa.
Hapo sasa Kijana David akiwa ameelemewa:  Warembo wa jijini Dar wakimpagawisha kijana na kumtoa jasho la pua.
Mwanadada akiwatoa jasho wanaume wawili wakati wa mduara shurti kuzungusha nyonga, haswa ukiwa nayo na dada yetu hapo amejaaliwa ndio raha ya kupitia unyago hiyo.
Hapo sasa twende kazi……..
Aneth Kushaba AK47 akishow love na Ceaser wa Clouds Tv pamoja na Dj Choka ambao ilikuwa mara yao ya kwanza kushuhudia Live Performance ya Skylight Band kwenye kiota cha Thai Village.
Bongo Flava nao ni moja wa mashabiki wa Skylight Band….Hemedy a.k.a PHD na Gelly wa Ryhmes walikuwepo kushow love na Skylight Band.
Dada Wendo all the way from Ughaibuni akishow love na mdau.
Joniko Flowe wa Skylight Band na fans wake.
Joniko Flower,  Hemedy pamoja na Gelly wa Rhymes wakishow some love.Chanzo:

moeblog

No comments:

Post a Comment