Friday 15 February 2013

MAANDAMANO YA WAISLAMU YADHIBITIWA JIJINI DAR


Askari wakiwa katika gari lao wakivinjari katikakati ya jiji.

Kikosi cha mbwa hakikuwa nyuma kuhakisha amani inakuwepo.
nia ya baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu kutaka kuandamana kwenda  Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) imeshindikana baada ya vyomba vya ulinzi na usalama kuimarisha ulinzi maeneo yote ya jiji la Dar es Salaam.
Hali hiyo iliyoshuhudiwa na wandishi wetu kwani polisi wa pikipiki, magari na kikosi cha mbwa walitanda mitaani kuhakikisha usalama.
Maeneo ambayo yaliimarishwa ni  ofisi ya DPP,  polisi makao makuu na sehemu nyingine muhimu.

(PICHA: Harun Sanchawa, Makongoro Going na Richard Bukos)

gpl

No comments:

Post a Comment