Saturday, 23 February 2013

TABIA ZA SIMU ZA KICHINA!1.Ndege ikipita ,simu inaandika 1 missed call

2.Ukiwa karibu na lorry likawashwa kitu kinaandika "Charger Connected"

3. Battery inajaa baada ya dk 3 ....

4. Simu ina Tv,microwave,torch,kikata kucha,mswaki,kiberiti cha sigara

5. Unaweza andika Msg kwa "tooth pick"

6.kuna matatizo ya kimaandishi mfano Nokla,Blackderry,Samvang

7.Ukiingiza vocha zaidi ya 5,000 inakuuliza "are you serious??"

8.kukiwa hamna umeme inaandika "insert sim card"

9.ukipost status 1 facebook ina post 10 nyingine bila wewe kujua

10. Ukipita karibu na mchina uku bluetooth ikiwa on ,simu inaonesha new hardware found, please enter pairing code


by-jf member bujibuji

No comments:

Post a Comment