Friday, 8 February 2013

Koffi Olomide Live in London-Must watchKWA LEO TUKIANZA WEEK-END TUANGALIE VIDEO LIVE HII YA KOFFI OLOMIDE KWA WALE WAPENDA BOLINGO.
SHOW HII KALI KOFFI ALIIPIGA PALE LONDON,NA NI KWAMBA NIKIKUMBUKA KIPINDI HII KOFFI ALIKUA AMEKIMBIWA NA WANAMUZIKI WOTE WALIOSHIRIKI KUTUNGA DANGER DE MOT.

QUATIER LATIE "DREAM TEAM" ILIYOONDOKA


NAMAANISHA WOTE UNAOWAONA KATIKA VIDEO YA PILI HAPO JUU WAKIWEMO FALLY IPOUPA,FERRE GOLA FILLE NYAFU,BITUS BULUTONDOLO,MONTANA KAMENGA,KERROSENE, NA WACHEZA SHOW WOTE.

WALIBAKI WAPIGA VYOMBO TU.NDIPO PAPA MOPAO AKACHUKUA TIMU MPYA KABISA YA WAIMBAJI NA WACHEZA SHOW,MAANA ALIKIMBIWA NA WANAMUZIKI AKIWA TAYARI ANA HUU MWALIKO.
KAMA MTAKUMBUKA SHOW YA MWISHO KOFFI NA KUNDI QUARTEL LATIN WALIIPIGA BONGO MWAKA 2003 MWISHONI HIVI.NA ILE SHOW ILIKUA MOTO BALAA.
NILIKUA NDANI YA NYUMBA NA NAKUMBUKA KOFFI ALIPIGA SHOW MPAKA ASUBUHI KUMEKUCHA WATU TUNAONDOKA YEYE YUPO KWA STAGE.PALE NDIPO NILIANZA KUHUSUDU MUZIKI WA MOPPAO

HAYA WADAU PATA SHOW HIYO ZIMEPIGWA KALI ZA ZAMANI KM MICKO,ANDRADA NA NYINGINE MPYA ZA KIPINDI HICHO KAMA SYLVIE,BILA KUSAHAU MASEBENE NA SHOW YA KUFA MTU

WEEK-END NJEMA

No comments:

Post a Comment