Thursday 9 December 2010

tukisherehekea uhuru tanzania movie hii"AFRICAN ADDIO(FAREWELL AFRICA)inafaa sana

africa addio ni documentary inayoeleza matukio ya uhuru kwa bara lote la africa(nchi zote)pamoja na tanzania zilipopata uhuru hali ilikuwaje,inaelezea pia baada ya uhuru viongozi wetu wa afrika waliokuwepo wakati huo walianza vipi kuharibu nchi zao kwa kutumia madaraka vibaya baada ya kukabidhiwa nchi na wakoloni,pia utaona mapinduzi ya zanzibar,genocide ya rwanda mwaka 1959,kenya na matukio mbalimbali katika nchi nyingi tofauti tofauti miaka hiyo,ni documentary nzuri sana kuangalia kama wewe ni mpenzi wa history tafuta muda ukae utulie uangalie mwanzo mpaka mwisho,utapata jibu ni wapi waafrika tunakosea.enjoy and comment

No comments:

Post a Comment