Wednesday 1 December 2010

TANGAZO LA MKUTANO WA BALOZI NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI SWEDEN

balozi mr mohammed mzale


Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mheshimiwa Muhammed Mzale atakutana na Watanzania waishio nchini Sweden siku ya Jumamosi tarehe
11 Disemba 2010 kuanzia saa tisa alasiri katika ukumbi wa Kista Träff uliopo kwenye anwani ifuatayo: 
Kista Torg 7
164 42 Kista
Stockholm
Watanzania mnaombwa mjitokeze kwa wingi ili mpate fursa ya kufahamiana na kujumuika na Mheshimiwa Balozi kwenye mkutano huu ambao pia utatumika kama sehemu ya sherehe ya miaka 49 ya uhuru.

No comments:

Post a Comment