Thursday 9 December 2010

SWEDE BRIDE"S HUSBAND ARRESTED FOR CONNECTION TO MURDER HIS WIFE IN SOUTH AFRICA

mr&mrs anni dewani
Ifuate hiyo habari bofya HAPA

kama mtakumbuka niliwahi kuleta hii issue hapa kipindi cha nyuma,huyu bwana toka uingereza na mkewe wa hapa sweden walienda south africa kwenye honeymoon baada ya kuoana.kufika huko ndio mchezo wote ulipotokea,yasemekana gari waliyokodi ilitekwa na majambazi na baadaye huyu bwana na dreva waliachiwa huru lakini mkewe hao majambazi waliondoka nae,na kesho yake mkewe akaokotwa amekufa.kesi ikaenda polisi na katika uchunguzi ikaonekana taxi dreva alihusika,baada ya taxi dreva kubanwa mwisho akakiri makosa yake na kusema huo wote ulikuwa mpango wa huyu mume kumuua mkewe!.na ametaja mpaka pesa alizolipwa km dola 2000 na kitu hivi kwa kazi hiyo na kusema jamaa alimlipa hizo pesa na ilibidi waende kuchange pesa ki-dili kwa kufuta ushahidi.sasa hatuelewi ni kweli ama taxi dreva kaamua tu kumpakazia jamaa ili wale kifungo pamoja?.hatuelewi kesi bado iko mahakamani na tutafahamishana kitachoendelea.

No comments:

Post a Comment