Sunday 12 December 2010

week-end bongo movie"A CRY FOR MAMA"

NO-1 NO-2 NO-3 NO-4-end poleni sana waungwana ijumaa hii hamkupata movie kama kawaida yetu,hiyo ilisababishwa na sababu kuu mbili,kwanza ni alhamisi niliweka documentary moja kwa ajili ya kusherehekea siku ya uhuru,nadhani mmepata muda kuiangalia,pili ni kuelemewa na shughuli za kupakaza.lakini msikonde leo nimeweka hii movie na tuko pamoja jumapili hii namie naitizama hapa.enjoy

No comments:

Post a Comment