Friday 17 December 2010

MISS AFRICAN NIGHT SCANDINAVIA MORE PIX


Wanamwita" BEBE COOL" i dnt know,im not sure maana ulaya hapa usanii mwingi

nikawakuta chemba wataalam hawa wa kilimanjaro club wakiteta



linda alituwakilisha vyema wabongo

huyu mshkaji toka togo aliwateka sana ma-blonde maana hapa alikua anatoa unoz kama kapagawa


nikiwa ktk  ulinzi mkali na ma-F.F.U wangu

ethiopia

pendo james nae alituwakilisha wabongo,siku hiyo majaji hawakuwa na pakutokea maana tulikaba kila kona

unoz.com

badala ya mwanadada amani toka kenya tukaletewa huyu.sijui hata aliimba nini,halafu baada ya kupafom mida mibovu nikamkuta anabembea ile kisawasawa ubapa-ubapa na ngazi yuko mbwayi ile mbaya,nikaona duh hii tena.

amafoto mengine yatawajia baadae si unajua dozi ya vitu vizuri inakuwa ndogo kama piriton,vuta subra.

No comments:

Post a Comment