Friday 31 December 2010

new year bongomovie"HONEYMOON-2"enjoy

PART 1-3

PART 2-3 PART 3-3

karibuni tena wadau tunaendelea kupata uhondo wetu wa movie toka mitaa ya nyumbani bongo,niliahidi kuweka hii party two jumamosi iliyopita lakini nilizidiwa kidogo na mambo ya sikukuu na familia.by the way leo kitu iko hewani ni nyinyi tu na muda wenu kuicheki.haya tukiwa tumebakisha masaa kadhaa tuuone mwaka,ni muda mwingine wa kutafakari tumefanya nini kwa mwaka unaoisha?jibu najua kila mtu analo mwenyewe kwa kichwa.mie ndo naanza kujiandaa kwa ajili ya kwenda kuumalizia mwaka huko mitaa ya town.tunaweza kugongana na msisite kupeana hi,maana sisi wote wamoja.

nawatakia HAPPY NEW YEAR 2011 wadau wangu wooote popote mlipo.

2 comments:

  1. mbn move yenyewe nusu??????? nikekumind ile mbaya tupe vitu bwana

    ReplyDelete
  2. duh pole sana mdau,mi sikuimaliza hivyo sikujua kama haijaisha,lakini labda unazungumzia imeanza katikati.niliweka party one last week itafute kwenye older post.

    ReplyDelete