Monday 20 December 2010

ICE BLACK MAGIC PARTY ILIVYOFANA BONGO



the light aliwaka kama kawaida yake

duarika,nyuma mbele,mbele nyuma



duuh hili pozi kushoto kidume nimeshtuka,vipi tena haijambo?












nyomi lake utakimbia,cheza na wabongo kwa starehe,watu wameifungia safari hii party.




sasa kuimba tena na mchupa wa whisky,au ndio mambo ya didy







asente kwa smile mdada hadi nimeshiba.



he hee,nakakumbuka haka kamchumba.





















chid beenz na kiba naskia walipiga show tamu sana






diih,kama vile nawaona ndugu zangu kwete na akamba wangekuwepo hapo.









mambo ya sebweneee.






No comments:

Post a Comment