Friday 17 December 2010

Dr remmy ongala azikwa dar



mwili wa marehemu ukiwa tayari kwa kuagwa na maziko,dakta remmy aliwahi kuimba muziki kuhusu kifo niliweka pale mwanzo,ukisikiliza wimbo huo na kutafakari maneno yaliyomo ndani utapata ukweli kwamba kweli remmy alifikiria mbali.licha ya wimbo huo pia kuna,nyingine kama muziki asili yake wapi,narudi nyumbani, na kilio cha samaki.ni nyimbo zenye ujumbe murua na burudani tosha.

MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI DOKTA WETU WA MUZIKI RAMADHANI MTORO AMBAYE ALIMRUDIA BWANA DAKIKA ZA MWISHO NA KUTUBU MADHAMBI YAKE.TUTUBU DHAMBI ZETU JAMANI MAANA HATUJUI SIKU WALA SAA,SIO MNAPAKAZA TUUU.

No comments:

Post a Comment