Thursday 16 December 2010

FROM UGANDA WITH L........














teh teh,nikisema east africa tunatisha kwa vimwana sidhani kama kuna mtu atanibishia,leo nimewaleta vimwana toka uganda mjionee wenyewe"ai masti meki it klia ende komplitili".sio siri warembo wameundwa na kuumbwa wakaumbika,haya mi sisemi mengi siku hizi hamna viza kwenda uganda ukiona umeshindwa kuvumilia unaweza kuwatembelea,kuna basi pale ubungo straight mpaka kampala,nauli haifiki elfu hamsini unaweza kujipeleka mwenyewe ukajikaange,na vimwana wa huko wanasifika kwa ukarimu kama watanzania kwa hiyo hutapata shida mahali pa kulala,ila mfuko uwe unatema kama mgodi wa tanzanite.usisahau mwamvuli maana kunasifika pia kwa tetenasi.safari njema.




No comments:

Post a Comment