Saturday 4 December 2010

DR SAKIS IN STOCKHOLM

hapa jamaa ndio kaingia na kuanza mwaga vitu,mi hata sikuelewa maana dr sakis ni long time kumsikia sasa leo tena??

madensa wake matata ilikua ni chu**i t**o kama mkate na butter,nadhani hii ndio ilikua burudani kidogo japo tulipiga chaboz



hawa ni wanamuziki wa vumbi dekula,mkaanga chipsi wake na neema mwimbaji,hapa lilipigwa sebene la J.B maquette generique tukaanza kuchapa.embu fikiria nilikutana na hawa jamaa ambao ni kazi yao muziki na mimi ni mdau mkuu wa muziki hasa bolingo.ngoma ilipigwa hapo mpaka mziki unakatishwa ilikua ngoma droo.maana dada na huyu mshkaji nao hawajambo.ikabidi tuahirishe mpambano maana tulikua tunaingilia shughuli ya watu





vumbi dekula na yaya nzela mwimbaji wake walikua wamepozi wametulia naona kauchovu maana siku hiyo walianza mapema.tulikutana alvjo mahali dada achani alikua anafungua african restaurang yake JAMBO KULA (ninazo picha).mtapata tukio hilo hapa baadae.

to  be continued..........


No comments:

Post a Comment