Tuesday, 19 June 2012

DIAMOND ATAMBA NA MCHUMA WAKE MPYA

 


Picha kwa hisani ya thisisdiamond.com
haya tena siku hizi bongo imekuwa fashion,maana watu wanashindana kuonyeshana migari na mihekalu ya uhakika kila kukicha,kama kawaida iba,kaba,vunja,roga,ua almradi upate mali,diamond ndio huyoooo nae kapata chake kwa jasho lake at least imeeleweka na anaonekana anavyojipinda kuitafuta fwaranga.haya wadau changamkeni muendeleze libeneke la kuonyeshana midude hata kama ni bito au rondo we tuletee picha tu nasi tutazibwaga hewani.alamsiki


No comments:

Post a Comment