Wednesday, 6 June 2012

YUSUPH MANJI AWANIA UENYEKITI YANGA
MFADHILI wa klabu ya soka ya Yanga Yusuf Mehboob Manji ni miongoni mwa wanachama waliojitokeza kuomba kugombea nafasi ya uenyekiti wa klabu hiyo katika uchaguzi ukatkaofanyika Julai 15.
Katibu Mkuu wa Kamati ya uchaguzxi ya Yanga Franbsic Kaswahili amesema leo kwamba mbali na Manji wagombea wengine watakaowania nafasi hiyo ni poamoja na Sarah ramadha, John Jambele na Edger Chibura.
Kutangazwa kwa Manji kumevunja sintofahamu ya mdau huyo kugombea uongozi ndani ya klabu hiyo.

No comments:

Post a Comment