Saturday 23 June 2012

DIANA HUSSEIN NDIYE MISS DAR INDIAN OCEAN N 2012


 
Mrembo Diana Hussein (kati) amefanikiwa kunyakua taji la Miss Dar Indian Ocean   akifuatiwa na Kudra Lupatu no2 (kulia) na Zulfa Vuai (kushoto) no3. Shindano la Miss Dar Indian Ocean 2012 limefanyika ndani ya Kijiji Cha Makumbusho Dar es Salaam

Picha kwa hisani ya http://kajunason.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment