Monday, 18 June 2012

KISOMO CHA KUMUOMBEA MZEE MOHAMMED MAKANI(BOB MAKANI) STOCKHOLM

 

ISMAIL (BIG) ANAWAJULISHA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA WAISHIO STOCKHOLM NA MAENEO JIRANI KWAMBA KUTAKUWA NA KISOMO CHA KUMUOMBEA MAREHEMU BABA YAKE MZEE BOB MAKANI BAADA YA KIFO KILICHOTOKEA HUKO TANZANIA.
KISOMO KITAKUA 

TAREHE 23 JUNE 2012,
SAA KUMI JIONI(16:00),
ADDRESS-VILUNDAVAGEN 31 UPPLANDS VASBY

WOTE MNAKARIBISHWA NA TAFADHALI MJULISHE NA MWENZIO UPATAPO TAARIFA HII

KWA TAARIFA ZAIDI-0734790396  ,0761553869

UBWABWA,MAANDAZI,SODA N.K VITAKUWEPO BAADA YA KISOMO

No comments:

Post a Comment