Tuesday, 19 June 2012

TODAY IS MR ISAACKIN BIRTHDAY!


 
Happy birthday to me!
 
 hapa isaackin akiwa na mmiliki halali wa mwili wake

Isaackin akipata "madhiwa"

TUTAANZIA HAPA CHINI


 

HALAFU TUTAKUJA HAPAKISHA TUTAMALIZIA HAPA


3 comments:

 1. Kwanza nikupongeza kwa siku yako ya kuzaliwa..Mungu akubariki uishi miaka mingi ili uwaone wajukuu na wajukuu wa wajukuu:-) HONGERA KAKA ISAACK...Sijui umetimiza miaka mingapi..LOL.
  Halafu msimaliza hayo maakuli maana nipo njiani nakuja ingawa sijapata mwaliko:-)

  ReplyDelete
 2. asante sana da yasinta,maakuli hayatakwisha hujachelewa utayakuta na ulanzi pia upo wahi!miaka mingapi ninayo chemsha bongo kidogo-
  500\100=?jibu X 10=?jibu-18=?jibu+3=?jibu-3=?

  ukipata hapo utapata miaka yangu sahihi ya africa na ulaya

  ReplyDelete
 3. mmmhhh! ila ungo wangu hauna mafuta...na roho inauma kweli....nawe kaka I bwana changamotochangamoto haya naona kukichwa gwangu kunasema ni miaka 32 ....nimepata eeeehhh au ilikuwa siri yangu?

  ReplyDelete