Thursday, 14 June 2012

HAPPY BIRTHDAY EMASON JOHNSON!

 

shemeji yangu huyu anasherehekea siku yake ya kuzaliwa leo,blog yetu inamtakia maisha yenye furaha na afya njema.

NB
nafasi ya kutakiana birthday njema au tukio lolote utakaloona linafaa ipo wazi kwa yeyote,hivyo kama una tukio lolote la khei usisiste kututumia katika email hapo kulia.

No comments:

Post a Comment