Thursday, 7 June 2012

DR SAKIS STOCKHOLM SHOW ILIVYOBAMBA
 

BACK OF STAGE DR SAKIS,DJ MIKE NA WAREMBO
 DR SAKIS NA TIMU YAKE NZIMATAYARI KWA KUKAMUA 

 MAMA AKAENDA MPA NYONGA KIDOGO JAMAA NAE YUMO MR LAVA LAVA HACHELEWI KUHONGA KIINGILIO CHOTE                                        MALEWA


OHOOO! MI SIMO APOO

 

JAMAA AKAANGUKA KIFAFA KABISA
NA HUDUMA YA KWANZA IKAANZAHAPA AKIPEWA "DRIP"WAONE KAMA MAPIGO YAKE YA MOYO YANAFANYA KAZI


huku nyuma ikawa tafrani vidume vyote vikawa vinataka kuugua


pati likaendelea,MORE PICS TO COME WADAU STAY TUNED

No comments:

Post a Comment