Saturday, 24 November 2012

MWENYE MZIGO "MKUBWA MKUBWA"-FANTA


JINA KAMILI: Magreth John
A.K.A: Fanta
KAZI: Mfanyabiashara.
MAKAZI YAKE: Sinza , Dar
AMEYAPATAJE MAKALIO HAYO?
“Tangu nilipokuwa mdogo nilikuwa na wowowo ila nilipoingia ukubwani ndipo yalipoongezeka zaidi, hili ni orijino, siyo Mchina”.
USUMBUFU ANAOKUTANA NAO
“Walahi najuta kuwa na umbile hili, yaani wanaume wananisumbua ile mbaya ila sina jinsi nawavumilia tu.”
ANATAMANI KUPUNGUA?
“Kwa kweli natamani sana kupungua kwa sababu hii imeshakuwa kero kwangu.”
KUHUSU MAVAZI
“Huwa napenda kuvaa magauni mafupi yanayonishepu, mini sketi na taiti maana ndiyo nguo zinazonipendeza zaidi.”
SAIZI YA NGUO YA NDANI
“Sijui hata navaa saizi gani maana huwa nanunua tu siangalii saizi.”

No comments:

Post a Comment