Thursday, 29 November 2012

NI MWENDO WA SNOW SASA HAPA STOCKHOLM


jana mchana


jana usiku
 
 leo asubuhi
NI KIPINDI AMBACHO UZOEFU UNATAKIWA MAANA MTU UNAJITWISHA NGUO ZA KAMA KILO 20 HIVI UNAZUNGUKA NAZO DAILY,IKIFIKA KIPINDI HIKI KWA SISI MAGANGA KILA MTU ANALAANI MAANA HATUJAZOEA HALI HII,WENYEWE WANAFURAHIA MAANA WATASHEREHEKEA CHRISTMASS INAVYOTAKIWA.
ANGALIA MENYU YA VIWALO TUNAVAA NA KILO ZAKE HAPO CHINI

CHUPI
BOXA
KAPTULA
TIGHT
CARWOSH
SWETA YA NDANI
TSHIRT
PULL-OVER
HEAVY-JACKET-5KG
SCARF
GLOVES
KOFIA-SOX
SOX NDEFU
SOX-SWETA
CATERPILAR-BUTI-5KG
SOLE YA NYONGEZA YA BUTI USITEREZE

KUNA KILO 10 YA JACKET NA BOOT,HESABU VILIVYOBAKI KISHA NIAMBIE KM HAVIFIKI KILO 10.

GOOD DAY!

1 comment:

  1. Haha Isaack, kwakweli hii hali si hali. Manake hata ukitembea unajisikia mzito kwa manguo.

    ReplyDelete